Jumatano, 7 Agosti 2013

VIJANA WA TANZANIAHuu ni wakati wa kuwa na nia juu ya nini ambacho unaweza ukaifanyia jamii na kuwa na malengo thabiti kwani huo unaweza kuwa ndio mradi wa kujikwamua kimaisha,mfano shughuli kama kilimo na biashara ni mambo ambayo vijana wengi huona kama ni upotezaji wa mda anapojikita katika shughuli hizo,Kumbe kinacho waponza zaidi ni AIBU na mtu kutaka UMAARUFU kwa kuziona kazi kama ushenzi kwake,VIJANA TUAMKE TUTAMBUE WAJIBU WETU KATIKA KUPIGANIA JINSI AU NAMNA YA KULIKOMBOA TAIFA LETU LA TANZANIA,

D'JARO ARUNGU: KUTANA NA KIJANA MTANASHATI.

Maoni 2 :

  1. HUU NI WAKATI WA VIJANA WA KITANZANIA KUBADILIKA NA KUWA WATU WENYE KUFIKI JINSI YA KUENDANA NA JAMII KWANI HII INAWEZA KUWA KAMA MRADI AU AJIRA KWAO vijana tuamkeni wakati wa mabadiliko ni sasa

    JibuFuta
  2. hili ndilo jukumu la vijana peke hapa nchini tanzania

    JibuFuta